ZIARA YA MESSI NCHINI GABON YAENDELEA KUZUSHA MIJADALA
Mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi ametoa mchango (maoni) wake kwenye Shirika la kusaidia haki za binadamu (HRF) kwa kuonyesha mwenye shauku na bidii ya kuunga mkono badala ya udikteta, wakati wa safari yake Gabon mwezi uliopita.Messi, mwenye umri wa miaka 28, aliwasiri Gabon, ambao ni mpango wa kuelekea kilele cha Kombe la Mataifa Afrika (AFCON) mwaka 2017, Messi alikutana na Raisi, Ali Bongo Odhimba, aliyemzungusha mji mkuu, Libreville.
Raisi wa Shirika la Haki za binadamu (HRF), Thor Halvorssen amesema kwenye tovuti ya shirika hilo “Kwa kutoa huduma huduma ya PR kwa Wanafamilia ya Raisi wa Gabon, Bongo. Dhahiri Lionel Messi amefufua uwezo wa kustahili uwanzishaji wa mfuko wake wa kuisaidia (familia ya Bongo) kwa huruma yake”.
“Ambapo Messi amedai kuunga mkono haki za watoto, na hata anapotumikia kama barozi wa UNICEF, kuhamasisha elimu kwa vijana kwa vijana, ameridhia mfumo wa utawala wa Kleptocratic ambao hukataa kuchunguza uuaji wa watoto au watu kwa makusudi Gabon.
…”Safari ya Messi ni sehemu ya familia ya Raisi Bongo, kutumia kampeni ya huduma ya PR ili kuhamasisha Fainali za Mataifa Afrika (AFCON) mwaka 2017, ambayo Gabon itaandaa kiupana na uwazi kupita kiasi licha ya ukweli kwamba, familia ya Raisi Bongo wamebaki asilimia 20 tu ya mkusanyiko wa watu wanaoishi chini ya dola 2 kwa siku”.
Mwansoka huyo wa kimataifa wa Argentina, aliweka jiwe la kwanza kwenye ujenzi wa jengo la uwanja wa Port-Gentil Stadium, ambao utatumika kwenye fainali za Mataifa Afrika mwaka 2017, na pia imetaarifiwa kuwa kama moja ya Migahawa ya Raisi Bongo
El Mundo Deportivo, ametoa taarifa kwamba, kwa namna nyingine juu ya madai ya Soka la France, Messi alikuwa hajalipia safari.
Awali Raisi Bongo, alieleza ujio wa Messi alisema “Kipindi nilipokuwa Barcelona, miaka michache iliyopita, nilikutana na Messi ambaye aliniambia kwamba angekuja kunitembelea, Lebreville. Ni ahadi aliyoiweka kwangu. Ni mtu muadilifu aliye tunza neno lake”.
No comments:
Post a Comment