Thursday, August 6, 2015
VIGOGO WA SIMBA FULL MZIKI, WALIKUWA ZANZIBAR KUSHUHUDIA KIKOSI CHAO
KARIBU UONGOZI WOTE WA JUU WA SIMBA, ULIKUWA MJINI ZANZIBAR JANA KUSHUHUDIA KIKOSI CHAO KIKICHEZA MECHI YA KIRAFIKI DHIDI YA KMKM AMBAYO ILIISHA KWA SIMBA KUSHINDA KWA MABAO 3-2.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment