TASWIRA MBALI MBALI KATIKA MKUTANO MKUU WA CHADEMA UNAOFANYIKA KWENYE UKUMBI WA MLIMANI CITY, JIJINI DAR LEO
Mwenyekiti
wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Freeman Mbowe (wa
nne kulia) akiwa ameshikana mikono na Mgombea wa Urais alieteuliwa na
chama hicho, Mh. Edward Lowassa (wa tatu kulia) pamoja na Mgombea Mwenza
wake, Mh. Dkt. Juma Haji Duni (mwenye suti nyeusi) pamoja na wanachama
wapya wa Chama hicho, wakati wakitambulishwa kwenye Mkutano Mkuu wa
Chama hicho, unaoendelea kufanyika hivi sasa kwenye Ukumbi wa Mikutano
wa Mlimani City, Jijini Dar es Salaam.
Picha ya pamoja.
No comments:
Post a Comment