Tanzania,
Taifa Stars imefungwa mabao 2-1 leo na Libya katika mchezo wa kirafiki
uliofanyika kwenye viwanja vya hoteli ya The Green Park mjini Kartepe,
Uturuki. Bao la Stars inayofundishwa na Charles Boniface Mkwasa
lilifungwa mshambuliaji John Bocco 'Adebayor'.
Stars imeweka kambi
Uturuki kujiandaa na mchezo wa kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika dhidi
ya Nigeria Septemba 5, mwaka huu mjini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment