HII HAPA ORODHA YA WANAMICHEZO WALIOPITA KUGOMBEA UBUNGE NA UDIWANI
Baadhi
ya wanamichezo walijittokeza kuomba ridhaa ya kuteuliwa na vyama vyao
ili waweze kugombea nafasi mbalimbali za uongozi wa kisiasa kuelekea
uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Octoba mwaka huu. Yafuatayo
ni majina ya baadhi ya wanamichezo ambao tayari majina yao yamepitishwa
kugombea nafasi za Ubunge na udiwani kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
1. Frederick Mwakalebela-Ubunge (Iringa)
2. Majaliwa Mbasa –Udiwani (Mwanza)
3. Yusuph Manji -Udiwani (Mbagala)
4. Said Fella-udiwani (Mbagala)
5. Idd Azan ubunge (Kinondoni)
6.Fenela Mukangara-Ubunge (Kibamba)
Kwa upande wa aliyekuwa
Mwenyekiti wa klabu ya Simba, Aden Rage yeye hajafanikiwa kupita kwenye
kura za maoni jimbo la Tabora mjini.
No comments:
Post a Comment