Ronaldo apigwa ‘kibuti’ na mrembo kwenye INSTAGRAM
Jana zilitoka taarifa ya kwamba nyota wa Real Madrid Cristiano Ronaldo alipigwa chini na mrembo Aline Lima mzaliwa wa Brazil ambaye kwasasa anaishi nchini Australia.
Ronaldo mwenye umri wa miaka 30, baada ya kuachana na aliyekuwa mchumba wake mwanamitindo raia wa Urusi Irina Shayk.
Wakati Real Madrid ilipotembelea nchini Australia kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya alijaribu kutaka kutengeneza mazinngira ya mahusiano ya mrembo Aline Lima.
Ronaldo alipomuomba mahusiano kupitia mtandao wa INSTAGRAM mrembo huyo aliambiwa tayari ana mchumba lakini ronaldo akamwambia asiwe na hofu kwani huyo mchumba wake hatapata nafasi ya kufahamu mahusiano yao.
Ronaldo kiboko kweli kweli! Anataka kuwa mfungaji bora pia nje ya uwanja.
No comments:
Post a Comment