Saturday, August 8, 2015

WACHAMBUZI WALIVYOTABIRI TIMU ZITAKAZOTWAA ‘NDOO’ LIGI KUU ENGLAND MSIMU HUU

Ubingwa EPLHatimaye zimesalia saa chache kuanza kushuhudia ligi maarufu ya soka ya England ‘English Premier League’.
Wachambuzi wa gazeti la Sportsmail la Uingereza wamekuja na utabiri wa timu gani zitaibuka mabingwa, zitakazoshika nafasi nne za juu, zitakazokuwa mabingwa wa vikombe vingine, zitakazoshuka na kupanda daraja.
CHELSEA watatetea ubingwa wao? kwa mujibu wa waandishi 14 kati ya 16, wamesema ndiyo.
BARCELONA wataweza kutetea ubingwa wao wa Uefa? wengi wanadhani ndiyo.
Hapa chini ni utabiri wa  wachambuzi wa MailOnline
 
JAMIE REDKNAPP
 Bingwa: Chelsea
 
Timu nne za juu: Chelsea, Arsenal, Man City, Man United
 
Zitakazoshuka daraja: Norwich, Watford, Sunderland.
 
Bingwa wa FA: Arsenal
 
Bingwa wa kombe la Ligi: Chelsea
 
Bingwa wa Uefa Champions League: Barcelona
 
Zitakazopanda daraja: Middlesbrough, QPR, Hull
JAMIE CARRAGHER
 Bingwa: Chelsea
 
Timu nne za juu: Chelsea, Arsenal, Manchester City, Manchester United.
 
Zitakazoshuka daraja: Bournemouth, Watford, Sunderland.
 
Bingwa wa FA: Manchester City
 
Bingwa wa kombe la ligi: Liverpool
 
Bingwa wa UEFA Champions League: Real Madrid
 
Zitakazopanda daraja: Burnley, Derby, Middlesbrough
LEE CLAYTON
 Bingwa: Chelsea
 
Timu nne za juu: Chelsea, Arsenal, Manchester City, 
Manchester United
 
Zitakazoshuka daraja: Leicester, Bournemouth, Watford
 
FA Cup: Arsenal
 
Kombe Ligi: Chelsea
 
Bingwa wa Champions League: Bayern Munich
 
Zitakazopanda daraja: Middlesbrough, Derby, Nottingham Forest
JEFF POWELL
 Bingwa: Arsenal
 
Timu nne za juu: Arsenal, Chelsea, Manchester United, Manchester City
 
Zitakazoshuka daraja: Bournemouth, Watford, Leicester
 
Zitakazopanda daraja: Wolves, Ipswich, Cardiff
 
Kombe la ligi: Chelsea
 
Kombe la FA: Manchester United
OLIVER HOLT
Bingwa: Chelsea
 
Timu nne za juu: Chelsea, Manchester United, Arsenal, Manchester City
 
Zitakazoshuka daraja: Sunderland, Aston Villa, Norwich
 
FA Cup: Manchester United
 
Kombe la ligi: Chelsea
 
Ubingwa wa Champions League: Barcelona
 
Zitakazopanda daraja: Burnley, Middlesbrough, Nottingham Forest
IAN LADYMAN
 Bingwa: Chelsea
 
Timu nne za juu: Chelsea, Arsenal, Manchester City, Manchester United.
 
Zitakazoshuka: Bournemouth, Watford, Aston Villa.
 
Bingwa wa FA: Manchester United
 
Kombe la Ligi:Chelsea
Uefa Champions League: Barcelona
 
Zitakazoshuka daraja: Burnley, Derby, Middlesbrough
DOMINIC KING
 Bingwa: Chelsea
 
Timu nne za juu: Arsenal, Manchester City, Manchester United
Zilizoshuka daraja: Watford, Norwich, Sunderland
 
Kombe la FA: Manchester City
 
Kombe la Ligi: Liverpool
Uefa Champions League: Barcelona
 
Zitakazopanda: Middlesbrough, Derby, Hull
ROB DRAPER
 Bingwa: Chelsea
 
Timu nne za juu: Chelsea, Arsenal, Man Utd, Man City
 
Zitakazoshuka daraja: Leicester, Watford, Norwich
 
Kombe la FA: Manchester United
 
Kombe la ligi: Liverpool
 
Ubingwa wa Champions League: Real Madrid
 
Zitakazopanda daraja: Middlesbrough, Burnley, QPR
RIATH AL-SAMARRAI
 Bingwa: Chelsea
 
Timu nne za juu: Chelsea, Manchester United, Manchester City, Arsenal
 
Zitakazoshuka daraja: Leicester, Watford, Norwich
 
Kombe la FA:  Manchester City
 
Kombe la ligi: Tottenham
Uefa Champions League: Barcelona
 
Zitakazopanda: Derby, Hull, Middlesbrough
MIKE KEEGAN
 Bingwa: Chelsea
 
Timu nne za juu: Chelsea, Manchester City, Arsenal, Manchester United.
 
Zitakazoshuka: Bournemouth, Leicester City, Sunderland.
 
Kombe la FA: Manchester United.
 
Kombe la ligi: Tottenham Hotspur.
Uefa Champions League: Barcelona.
 
Zitakazopanda daraja: Hull City, Middlesbrough, Burnley. 

No comments:

Post a Comment