Wasanii
wa muziki wa kizazi kipya, kutoka kulia Profesa Jay, Kala Jeremiah na
Juma Nature wakizungumza na Waandishi wa habari ili kuwaelezea kuhusu
onyesho lao la bure wanalotarajia kufanya Jumapili ya Agosti 23, mwaka
huu kwenye viwanja vya Zakhem, Mbagala, Dar es Salaam kuwahamasisha
wananchi kujitokeza kupiga kura katika uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na
madiwani Oktoba 25, mwaka huu. |
No comments:
Post a Comment