RAIS KIKWETE AAGA RASMI IDARA YA MAHAKAMA, YAMPA TUZO KWA MAKUBWA ALIYOFANYA KATIKA MIAKA 10
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipokea tuzo maalumu kutokana na mambo makubwa
liyoifanyia idara hiyo kutoka kwa Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Mohamed
Chande Othman katika ukumbi wa Mahakama Kuu jijini Dar es salaam leo
Agosti 6, 2015 katika sherehe fupi iliyoandaliwa na Mahakama na wadau wa
Sheria kumuaga rasmi Mhe Kikwete kama Rais wa nchi. PICHA ZOTE NA IKULU
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipokea tuzo maalumu kutoka kwa Jaji Mkuu wa
Tanzania Mhe Mohamed Chande Othman katika ukumbi wa Mahakama Kuu jijini
Dar es salaam leo Agosti 6, 2015 katika sherehe fupi iliyoandaliwa na
Mahakama na wadau wa Sheria kumuaga rasmi Mhe Kikwete kama Rais wa nchi.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akionesha tuzo maalumu aliyoipokea kutoka kwa
Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Mohamed Chande Othman katika ukumbi wa
Mahakama Kuu jijini Dar es salaam leo Agosti 6, 2015 katika sherehe fupi
iliyoandaliwa na Mahakama na wadau wa Sheria kumuaga rasmi Mhe Kikwete
kama Rais wa nchi.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongea katika ukumbi wa Mahakama Kuu jijini
Dar es salaam leo Agosti 6, 2015 katika sherehe fupi iliyoandaliwa na
Mahakama na wadau wa Sheria kumuaga rasmi Mhe Kikwete kama Rais wa nchi.
wakimsikiliza
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea katika ukumbi wa Mahakama Kuu
jijini Dar es salaam leo Agosti 6, 2015 katika sherehe fupi
iliyoandaliwa na Mahakama na wadau wa Sheria kumuaga rasmi Mhe Kikwete
kama Rais wa nchi.
Sehemu ya Majaji wa Mahakama Kuu wakimsikiliza Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akiongea katika ukumbi wa Mahakama Kuu jijini Dar es salaam leo
Agosti 6, 2015 katika sherehe fupi iliyoandaliwa na Mahakama na wadau
wa Sheria kumuaga rasmi Mhe Kikwete kama Rais wa nchi.
Sehemu ya wastaafu na viongozi wa taasisi wakimsikiliza Rais Jakaya
Mrisho Kikwete akiongea katika ukumbi wa Mahakama Kuu jijini Dar es
salaam leo Agosti 6, 2015 katika sherehe fupi iliyoandaliwa na Mahakama
na wadau wa Sheria kumuaga rasmi Mhe Kikwete kama Rais wa nchi.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongea katika ukumbi wa Mahakama Kuu jijini Dar
es salaam leo Agosti 6, 2015 katika sherehe fupi iliyoandaliwa na
Mahakama na wadau wa Sheria kumuaga rasmi Mhe Kikwete kama Rais wa nchi.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongea katika ukumbi wa Mahakama Kuu jijini Dar
es salaam leo Agosti 6, 2015 katika sherehe fupi iliyoandaliwa na
Mahakama na wadau wa Sheria kumuaga rasmi Mhe Kikwete kama Rais wa nchi.
MC wa shughuli katika sherehe fupi iliyoandaliwa na Mahakama na wadau wa Sheria kumuaga rasmi Mhe Kikwete kama Rais wa nchi.
Meza
Kuu katika ukumbi wa Mahakama Kuu jijini Dar es salaam leo Agosti 6,
2015 katika sherehe fupi iliyoandaliwa na Mahakama na wadau wa Sheria
kumuaga rasmi Mhe Kikwete kama Rais wa nchi.
Rais
Kikwete akisalimiana na watumishi wa Mahakama jijini Dar es salaam leo
Agosti 6, 2015 katika sherehe fupi iliyoandaliwa na Mahakama na wadau wa
Sheria kumuaga rasmi Mhe Kikwete kama Rais wa nchi.

Kikwete akisalimiana na Majaji wa Mahakama Kuu jijini Dar es salaam
leo Agosti 6, 2015 katika sherehe fupi iliyoandaliwa na Mahakama na
wadau wa Sheria kumuaga rasmi Mhe Kikwete kama Rais wa nchi.
Rais
Kikwete katika picha ya pamoja Majaji wa Mahakama Kuu ya Rufani
jijini Dar es salaam leo Agosti 6, 2015 katika sherehe fupi
iliyoandaliwa na Mahakama na wadau wa Sheria kumuaga rasmi Mhe Kikwete
kama Rais wa nchi.
Rais
Kikwete katika picha ya Mwanasheria Mkuu, Mtendaji Mkuu wa Mahahama,
Rais wa Tanganyika Law Society jijini Dar es salaam leo Agosti 6, 2015
katika sherehe fupi iliyoandaliwa na Mahakama na wadau wa Sheria kumuaga
rasmi Mhe Kikwete kama Rais wa nchi.
No comments:
Post a Comment