Mshambuliaji wa Bayern Munich, Robert Lewandowski akiruka juu kushangilia baada ya kuifungia timu yake katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Hamburg, mchezo wa ufunguzi, Ligi Kuu Ujerumani, maarufu kama Bundesliga usiku huu Uwanja wa Allianz Arena. Mabao mengine ya Bayern yamefungwa na Mehdi Benatia, Thomas Muller mawili na Douglas Costa.
No comments:
Post a Comment