Saturday, August 8, 2015

JAMIE REDKNAPP ANASEMA HAWA NDIO WACHEZAJI 10 WAKUWAANGALIA SANA KWENYE LIGI KUU ENGLAND

rrr
Jamie Redknapp ana uzeofu na ligi ya uingereza na hivi tukielekea kwenye mwanzo wa EPL kwa msimu wa 2015/2016 amewataja wachezaji 10 ambao anasema waangaliwe sana.
1. Jordy Clasie – Southampton
2. Christian Benteke – Liverpool
3. Memphis Depay – Manchester United
4. Yohan Cabaye – Crystal Palace
5. Petr Cech – Arsenal
6. Raheem Sterling – Manchester City
7. Dimitri Payet – West Ham
8. Troy Deeney – Watford
9. Callum Wilson – Bournemouth
10. Bastian Schweinsteiger – Manchester United

No comments:

Post a Comment