Juma Kaseja ambae alikua kimya kwa muda mrefu kuhusu club gani atajiunga nayo kwa ajili ya msimu ujao, hatimaye kila kitu kipo wazi. Mashabiki wa VPL na Juma Kaseja watamuona akilinda lango la Mbeya City kwa msimu ujao.
Picha hii imenifikia ambapo Kaseja alikua anakabidhiwa jezi ya Mbeya City na habari ikufikie kwamba mkataba huu ni kwa muda miezi 6.
No comments:
Post a Comment