Hii ni taarifa iliyotolewa na club ya Azam kuhusu mchezaji
wao kujiunga na Club ya Simba.
“Mchezaji kinda na nyota wa Azam FC, Joseph Kimwaga ametua
Simba SC kwa mkopo baada ya kupata matibabu Cape Town Afrika ya Kusini na
kupona 100% jeraha la goti. Tunamtakia kila la kheri katika msimu wake mpya na
Simba. Tunatarajia atarejea Msimu Ujao akiwa na uzoefu mkubwa kuja kuisaidia
timu yake iliyomlea.”
No comments:
Post a Comment