Huo
unakuwa ushindi wa pili kwa Mwadui katika michuano huyo inayoandaliwa
na Chama cha Soka Shinyanga (SHIREFA), kwa kushirikiana na kampuni ya
Cleverland Res ya Mwanza.
Awali, Mwadui ilyopanda Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu huu pamoja na Toto Africans iliifunga mabao 4-0 Stand United. Toto ilishinda 1-0 katika mchezo wake wa kwanza jana dhidi ya Kagera Sugar.
Mratibu wa mashindano hayo, Kabole Kahungwa alisema kwamba michuano hiyo itaendelea kesho kwa mchezo kati ya Kagera Sugar na Stand United.

AGOSTI 12, 2015
Kagera Sugar Vs Stand United
AGOSTI 13, 2015
Stand United Vs Toto African
AGOSTI 14, 2015
Mwadui FC Vs Kagera Sugar
No comments:
Post a Comment