Tuesday, September 15, 2015

Orodha ya timu zenye thamani kubwa duniani


VIGOGO wa NFL, Dallas Cowboys wameipiku Real Madrid na kuwa timu ya michezo yenye thamani kubwa zaidi duniani. 
The Cowboys, ambayo inamilikiwa na mfanyabiashara Mmarekani, Jerry Jones, inasemekana ina thamani ya dola za Kimarekani Bilioni 4. 
Licha ya kutofika katika Super Bowl tangu walipokwenda mara ya kwanza mwaka 1995, timu ya Jones inabaki kuwa juu ya wapinzani wake linapokuka suala la thamani kwa mujibu wa jarida la Forbes.
Real Madrid inazizidi kwa uthamani mahasimu wao wa Hispania, Barcelona na Manchester Unitedya England 

TIMU ZA MICHEZO ZENYE THAMANI KUBWA DUNIANI 

1. Dallas Cowboys (Mpira wa Kimarekani) - Pauni bilioni 2.59 
2. Real Madrid (Soka) Pauni bilioni 2.11
3 - New England Patriots ((Mpira wa Kimarekani)) - Pauni bilioni 2.07
3 - New York Yankees  (Baseball) - Pauni bilioni 2.07
4. Barcelona (Soka) - Pauni bilioni 2.05
5. Manchester United (Soka) - Pauni bilioni 2.01
6. Washington Redskins ((Mpira wa Kimarekani)) - Pauni bilioni 1.85
7. New York Giants ((Mpira wa Kimarekani) - Pauni bilioni 1.82
8. San Francisco 49ers ((Mpira wa Kimarekani) - Pauni bilioni 1.79
9. Los Angeles Lakers (Basketball) - Pauni bilioni 1.69
9. New York Jets ((Mpira wa Kimarekani)) - Pauni bilioni 1.69
10 - New York Knicks (Basketball) - Pauni bilioni 1.62
10 - Houston Texans ((Mpira wa Kimarekani)) - Pauni bilioni 1.62

No comments:

Post a Comment