Mamlaka ya soka nchini Israel imesimamisha mipango ya mgomo katika mzozo kuhusu kucheza siku ya Sabato ya Wayahudi.
Uhalali
wa mechi za Jumamosi umetiliwa shaka na Mahakama ya kazi ya
Israel,ambayo imekuwa ikiwaunga mkono wachezaji wayahudi juu ya madai
yao.Lakini chama cha soka cha Israel kimesema kuwa michezo yote itaendelea kama ilivyopngwa baada ya mwanasheria mkuu kuthibitisha kuwa hakuna mtu ambaye atafunguliwa mashitaka.
No comments:
Post a Comment