Wednesday, September 9, 2015

Hawa ndio wanalipwa zaidi Ligi Kuu Italia

2BEBCF9200000578-3225129-Paul_Pogba_is_the_third_biggest_earner_in_Serie_A_with_the_Juven-a-23_1441629186598
Kuna orodha imetoka ikionyesha jinsi wachezaji wa Serie A wanavyolipwa kutoka na kazi yao wanayofanya kwenye club zao.Mchezaji maarufu sana Pogba ambae alikua kwenye soko kubwa la kununuliwa na club mbalimbali na yeye yupo kwenye list lakini hayupo namba moja. Hii hapa ndio list yenyewe
1. Daniele de Rossi, Roma, €6.5m
2. Gonzalo Higuain, Napoli, €3.2m
3. Paul Pogba, Juventus, Edin Dzeko, Roma €4,5m
4. Gianluigi Buffon, Juventus, Sami Khedira, Juventus €4m
5. Geoffrey Kondogbia, Inter Milan, Mario Mandzukic, Juventus, Giorgio Chiellini, Juevntus, Carlos Bacca, AC Milan, Riccardo Montolivo, AC Milan, Mohamed Salah, Fiorentina, Claudio Marchisio, Juventus, €3.5m

No comments:

Post a Comment