Usiku
wa Septemba 30.9.2015 ilipigwa michezo nane ya UEFA Champions League
(kombe la vilabu bingwa barani Ulaya) ilichezwa, mechi hizo
zilishirikisha makundi manne tofauti kuanzia kundi E, F, G na H ambapo
jumla ya timu 16 zilikuwa zikiumana kusaka pointi tatu ili kujiweka sawa
kwa ajili ya kusonga mbele kwenye hatua inayofuta.
Matokeo ya michezo yote iliyopigwa usiku wa Jumanne kuamkia Jumatano yapo kama ifuatavyo;
No comments:
Post a Comment