Thursday, September 10, 2015

Wachezaji wanaolipikwa mkwanja mrefu zaidi Ligi Kuu England

27BE052800000578-3227651-Ivory_Coast_midfield_player_Yaya_Toure_right_is_paid_the_same_as-a-8_1441794999972
Mpira pesa ni msemo wa kawaida na wachezaji muhimu kwenye club lazima walipwe pesa nyingi bila ubishi. Siku chache zilizopita nilikupa list ya wachezaji wanaolipwa pesa nyingi kwenye ligi ya Italy. Leo hii ni zamu ya EPL, hii hapa ni list ya wachezaji wanaolipwa pesa nyingi kwenye EPL.
Machester city wanaongoza kwa kuwa na wachezaji wengi kwenye hii list. Hii mishahara ni kwa wiki kabla ya kukatwa kodi.
1. Wayne Rooney (Man Utd) £260,000
2. Sergio Aguero (Man City) £240,000
3.Yaya Toure (Man City) £240,000
4. Eden Hazard (Chelsea) £220,000
5. David Silva (Man City) £200,000
6. Mesut Ozil (Arsenal) £190,000
7. Raheem Sterling (Man City) £180,000
8. Cesc Fabregas (Chelsea) £170,000
9. Kevin De Bruyne (Man City) £170,000
10. John Terry (Chelsea) £160,000

No comments:

Post a Comment