Klabu ya Stand United imeandika
barua ya kuitisha mkutano mkuu wa dharura utakaofanyika Octoba 30, 2015
wenye lengo la kupitisha katiba mpya ya klabu hiyo.
Barua hiyo imeandikwa kwa katibu
mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania kuomba kupewa mwakilishi
toka TFF kwa ajili ya kushuhudia zoezi hilo muhimu.
Hii hapa ni barua ya mwenyekiti wa klabu ya Stand United kwenda kwa katibu mkuu wa TFF.
No comments:
Post a Comment