Tuesday, October 6, 2015

Rodgers aenda Hispania kupunguza machungu ya kutimuliwa Liverpool


Brendan Rodgers yuko mapumzikoni nchini Hispania ikiwa ni muda mfupi baada ya kutimuliwa kazi Liverpool.
Kocha huyo ameonekana akiwasili katika mji wa Malaga akiwa na kipenzi chake Charlotte Hind pamoja na binti yao.
Hiyo inakuwa ni mara ya kwanza kwa Brendan Rodgers kuonekana pichani tangu alipofukuzwa Jumapili baada ya sare na Everton.

No comments:

Post a Comment