HATUA
ya mwisho ya mchujo wa kuwania kupangwa kwenye makundi ya kuwania
tiketi ya Kombe la Dunia 2018 nchini Urusi kwa kanda ya Afrika
inatarajiwa kufanyika katikati ya Novemba.
Mechi mbili zitachezwa, moja nyumbani na nyingine ugenini na washindi wa jumla wataingia kwenye makundi matano, ambayo mwishowe kila kundi litatoa timu moja ya kwenda Urusi mwaka 2018.
RATIBA YA HATUA YA MWISHO KOMBE LA DUNIA
Niger v Cameroon
Mauritania v Tunisia
Namibia v Guinea
Ethiopia v Kongo
Chad v Misri
Comoros v Ghana
Swaziland v Nigeria
Botswana v Mali
Burundi v DRC
Liberia v Ivory Coast
Madagascar v Senegal
Kenya v Cape Verde
Tanzania v Algeria
Sudan v Zambia
Libya v Rwanda
Morocco v Equatorial Guinea
Msumbiji v Gabon
Benin v Burkina Faso
Togo v Uganda
Angola v Afrika Kusini
Mechi mbili zitachezwa, moja nyumbani na nyingine ugenini na washindi wa jumla wataingia kwenye makundi matano, ambayo mwishowe kila kundi litatoa timu moja ya kwenda Urusi mwaka 2018.
Mshambuliaji wa Azam FC, Alan Wanga aliisaidia Kenya kufuzu hatua ya mwisho ya mchujo Kombe la Dunia na sasa itamenyana na Carpe Verde |
RATIBA YA HATUA YA MWISHO KOMBE LA DUNIA
Niger v Cameroon
Mauritania v Tunisia
Namibia v Guinea
Ethiopia v Kongo
Chad v Misri
Comoros v Ghana
Swaziland v Nigeria
Botswana v Mali
Burundi v DRC
Liberia v Ivory Coast
Madagascar v Senegal
Kenya v Cape Verde
Tanzania v Algeria
Sudan v Zambia
Libya v Rwanda
Morocco v Equatorial Guinea
Msumbiji v Gabon
Benin v Burkina Faso
Togo v Uganda
Angola v Afrika Kusini
No comments:
Post a Comment