Usiku
wa Jumanne imepigwa michezo kadhaa ya vilabu bingwa barani Ulaya
maarufu kama UEFA Champions League na kushuhudia matokeo tofautitofauti
kwenye viwanja mbalimbali.
Hapa nimekuletea matokeo ya timu
zote ambazo zilijitupa uwanjani kusaka pointi muimu kwa ajili ya
kujiweka vizuri kwa ajili ya kufuzu kwenye hatua inayofutata ukiachilia
mbali hatua ya makundi.
No comments:
Post a Comment