Saturday, October 10, 2015

Hii ndio sababu ya Usain Bolt kuvaa jezi ya Arsneal

booly
Huyu mkali wa kukimbiza upepo ni shabiki maarufu sana wa club ya Manchester na kuna kipindi kulikua na tetesi za Sir Alex kutoka kumsajili. Ushabiki wake wala haufichiki kwasababu mara nyingi amekua akienda Old Trafford kuangalia mechi za Man united.
Sasa nini kimetokea amevaa jezi ya wapinzani wake, kumbe huyu jamaa ali-bet dhidi ya mtangazaji wa TV anaitwa Patty Lopez la Cerda kwamba kama Manchester ikifungwa basi Bolt kwa mara ya kwanza atavaa jezi ya Arsenal. Bolt anaiamini timu yake akakubali akijua swala kufungwa halitatokea. Baaada ya Manchester kuchezea kichapo cha 3-0 basi ikabidi Bolt avalishwe jezi hiyo bila ubishi.
2D30339900000578-0-image-a-2_1444293118177

No comments:

Post a Comment