PICHA 6 ZA ARTURO VIDAL AKIWA MAZOEZI KWA MARA YA KWANZA NA BAYERN MUNICH
Mchezaji wa Chile kwa mara ya kwanza ameshiriki mazoezi na club yake
mpya Bayern Munich ambayo inashiriki ligi ya Bundesliga.Vidal amejiunga
na club hii akitokea Juventus na gharama iliyotumika kumfikisha Bayern
ni kiasi cha £28million.